Mawasiliano

Njia

Ulizia Mtunza Nyaraka au Ofisi ya Utalii Mbeya na Tukuyu (Gazzelle au Rungwe Tea and Tour) Kwa ziara inayojumuisha Rungwe Misheni Taxi zinapatikana Tukuyu na gharama ya safari ni 10000Tsh Pikipiki pia zinafanya safari kutokea Kyimo (K:K) au Sogea kwa gharama ya 3000 Tsh

Muda wa Kazi

Jumatatu – Ijumaa 4 Asbh – 9 Alsr

Tafadhali wasiliana nasi ili kuweka ahadi kwa ajili ya safari yako

Mawasiliano

Mtunza Nyaraka

RAMC Rungwe Misheni

P.O. Box 32 Tukuyu

Archivist.RAMC@gmail.com

068 370 77 55

http://www.mctsp.moravian.or.tz/museum.htm

  • Categories

    • No categories
  • Archives

  • Meta